Ofisi ya Meneja Mkuu wa Chama

Profile Image

Baraka Samwel Kiboye

Nafasi: Meneja Mkuu

Barua pepe: barakakiboye@igembensabo.co.tz

Meneja Mkuu ndiye Mtendaji Mkuu wa shughuli zote za kila siku za chama na atawajibika kwa Bodi ya Chama.

Idara ya Uhasibu na Fedha

Profile Image

Malietha Laulent

Nafasi: Mhasibu Mkuu

Barua pepe: maliethalaulent@igembensabo.co.tz

Idara hii inajihusisha na masuala ya kiuhasibu na fedha. Idara hii itajumuisha; Mhasibu Mkuu, Mhasibu msaidizi, Makarani wa hesabu na Mtunza Stoo.

Idara ya Shughuli

Profile Image

Luth D. Kimea

Nafasi: Meneja Shughuli

Barua pepe: luthkimea@igembensabo.co.tz

Idara hii itahusika na masuala ya masoko, mitambo, maghala na mashine. Idara hii itaongozwa na meneja shughuli pamoja na maafisa wengine watakao shughulikia masoko, mitambo na mashine.

Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani

Profile Image

Emmanuel M. Marko

Nafasi: Mkaguzi wa ndani

Barua pepe: emmanuelmarko@igembensabo.co.tz

Kitengo hiki kinahusika na masuala ya ukaguzi wa ndani wa hesabu za chama na vyama wanachama (AMCOS) kabla ya kupelekwa kwa Mkaguzi wa Nje. Idara hii itaundwa na Mkaguzi wa Ndani na wakaguzi wa ndani wasaidizi.

Kitengo cha TEHAMA

Profile Image

Emmanuel K. Aloyce

Nafasi: Afisa TEHAMA (Web Developer)

Barua pepe: emmanuelaloyce@igembensabo.co.tz

Kitengo hiki kitahusika na uratibu na uendelezaji wa mifumo ya TEHAMA ya ICU Ltd. Pia, kitengo kitahusika na uimarishaji wa mawasiliano ya ndani na nje ya chama, kuendeleza na kutunza tovuti ya chama na kumbukumbu za chama kwa mfumo wa kidigitali. Kitengo hiki kitaundwa na Maafisa TEHAMA wa chama.